2018 KCPE Insha Past Paper-Free KCPE Past Papers with Answers.

Kenya Certiļ¬cate of Primary Education

Insha

Umepewa dakika 40 kuandika Insha yako

Andika Insha isiyopungua ukurasa Moja na nusu ukifuata maagizo uliyopewa

Andika Insha inayomalizia kwa maneno ifuatayo:

Hapo ndipo nilipongundua kwamba ndungu hata akiwa mbaya vipi hawezi kukuwacha wakati wa shida………………………………….