2019 Insha KCPE Past Papers
Kenya Certificate of Primary Education
Insha
Umepewa dakika 40 kuandika Insha yako
Andika Insha isiyopungua ukurasa Moja na nusu ukifuata maagizo uliyopewa
Andika Insha inayomalizia kwa maneno ifuatayo:
Hakika nilikuja kugundua kwamba ni muhimu kuwazia hatari ya kufuata yale ambayo marafiki wanatenda.