KISWAHILI Sehemu ya pili: Insha
Kenya National Examinations council
K.C.P.E 2012
Kiswahili
Sehemu Ya pili:
Insha
Muda dakika: 40
Namba yako ya mtihani
Jina lako
Jina la shule yako
Soma maagizo yafuatayo kwa makini.
1. Kwenye nafasi zilizoachwa hapo juu, andika Namba yako kamili ya mtihani, Jina lako na Jina la Shule yako.
2. Sasa fungua ukumsa, soma kichwa cha insha kwa makini kisha uandike insha yako kwenye nafasi ulizoachiwa.
Kijitabu hiki kina kurasa 4 zilizopigwa chapa.
Umepewa dakika 40 kuandika imha yako.
Andika insha isiyopungua ukurasa mmoja na nusu ukifuata maagizo uliyopewa. Andika insha inayoanza kwa maneno yafuatayo
Machozi ya furaha yalinitiririka. Sikutarajia haya