THE KENYA NATIONAL EXAMINATIONS COUNCIL
K.C.P.E 2013
Kiswahili
Sehemu Ya Pili:
Insha
Muda: Dakika 40
Namba Yako Ya Mtihani
Jina Lako
Jina La Shule Yako
Soma Maagizo Yafuatayo Kwa Makini.
1. Kwenye nafasi zilizoachwa hapo juu andika Namba yako kamili ya mtihani, Jina lako na Jina la Shule yako.
2. Sasa geuza ukurasa huu. Soma kichwa cha insha kwa makini kisha uandike insha yako kwenye nafasi ulizoachiwa.
3. Insha lazima iandikwe kwa lugha ya Kiswahili.
Kijitabu hiki kina kurasa 4 zilizopigwa chapa.
Umepewa dakika 40 kuandika insha yako.
Andika insha isiyopungua ukurasa mmoja na nusu ukifuata maagizo uliyopewa.
Wewe ni kinara wa wanafunzi shuleni. Andika hotuba utakayowatolea wanafunzi wenzako kuhusu umuhimu wa kudumisha usaļ¬ shuleni.